DUA KALI YA ALBADIRI KUWASOMEA WALE WALIOMSHAMBULIA KWA RISASI MH TUNDU LISSU,WAPEWA SIKU CHACHE KUJISALIMISHA WENYEWE.


Kila njia ya kumlilia Mungu na kumwachia kazi ya KISASI itatumia kukomesha uovu huu katika ardhi ya Tanzania.
Leo vijana Waislam kwa Wakristu wakishirikiana na Wazee wa maeneo mbali mbali ya ndani na nje ya nchi kwapamoja Wanaandaa DUA KALI ya albadiri kuwasomea wale waliomshambulia kwa Risasi Mh Tundu Lissu
Michango inaendelea kwaajili ya dua hiyo ambayo wazee mbali mbali kutoka maeneo yafutayo watashiriki.
1:Pemba
2:Kwamsisi
3:Kwasemnyau
4:Pangani
5:Maramba
Watanzania tuungane kwapamoja tumkabidhi Muumba kazi ya Kisasi, na kisasi ni haki kwa muovu.
Kwa imani tutashinda!


Maoni