MAKAMBA ANENA MAZITO NA KUSEMA MDA WA KUTOKA CCM MADARAKA YA JUU UMEFIKA NA YOTE NI MIPANGO YA MUNGU.

Kauli ya mzee Makamba kwamba Tanzania chini ya utawala wa JPM itabatizwa kwa moto watanzania tuigeuzie ccm. Tuibatize ccm kwa moto. Mwisho wa ukoloni wa ccm uwe mwaka 2020. 
Kila Mtanzania mwenye uelewa awe mwalimu kwa kuwafundisha wale wote wasio na uelewa maana wenye uelewa peke yao hawatoshi kuiondoa ccm madarakani mwaka 2020
Mzee Makamba ameweza kuibuka baada ya matukio mabaya yanaeza kuonekana ndani ya taifa letu na pia kuweza kuonekana na Duniani kwa ujumla mpaka kulipa taifa letu aibu ,
Tanzania ni nchi ya amani ila leo uwezi sema ni majambazi ambao waliweza kumvamia tundu lissu na kumshambulia na silaha za kivita sio kwa Tanzania kufanya Tukio kama hilo ambalo ni Hatari zaidi,
Upinzani sio uwadui ametoka kusema Mh rais mstaafu hapo siku za nyuma ila nchi yetu imegeuka mpaka nami nashangaa eti upinzani ni uwadui kiasi taifa letu tunalipeleka pabaya nchi yetu ilikuwa na sifa nyingi hivi sasa hizo sifa zote zinapotea,
tuendelee kuombea taifa na kumwombea lissu pia,

Source Mkinga News.


Maoni

Chapisha Maoni