BAADA YA MH MSEKWA KUSEMA KUWA MPANGO WAO AUWEZI KUPITA SASA NKAMIA KAAMUA KUSALIMU AMRI.



TAARIFA MUHIMU
NDG Viongozi wenzangu naomba kuwataarifu kuwa baada ya mashauriano na maelekezo ya viongozi wa juu wa chama(Ccm)na kutokana na hali ya kisiasa ilivyo ktk nchi kadhaa za Afrika Mashariki nimelazimika kuondoa kwa muda hoja yangu binafsi ya ukomo wa bunge ambayo nilikusudia kuiwasilisha katika bunge lijalo
Juma Nkamia(MB)
Chemba
14/10/2017

Maoni