MBUNGE WA BABATI MJINI GEKUL KATUMA UJUMBE MUHIMU JUU YA UCHAGUZI WA MDOGO WA MADIWANI NCHINI.


Tutakwenda kata kwa kata, kijiji kwa kijiji, mtaa kwa mtaa, kitongoji kwa kitongoji, msingi kwa msingi, kuhakikisha uchaguzi huu tunashinda, kubwa zaidi wale waliochoka na maisha haya magumu tuunganishe nguvu zetu, tusibaki kulalamika, kupitia uchaguzi huu tukazungumze yaliyoyakweli, kuhusu uchumi wetu, ajira kwa vijana wetu, mazao yetu,usalama wa maisha yetu, demokrasia yetu, na taifa letu kwa ujumla,


Maoni