IGP SIRRO KAMATAKAMATA YA UPINZANI BADO ITAENDELEA ZAIDI YA HAPA

IGP SIRRO jana alikuwakatikakipindi cha dakika 45 ambacho kinaongozwa na SAM MAHELA ambaye ni mtangazaji wa ITV ameweza kusema kamanda sirro kuwa kamatakamata ya wapinzani hapa bado itaendelea sana hapo mbeleni maana jeshi la polisi linataka watu waweze kutii sheria bila shuruti,

IGP SIRRO ameweza kueleza hilo na kusema kama tukaweza kumkamata na kumhoji kwa kosa lake kama tutkamkuta mtu ana hatia basi tutamwachia na kama tukimkuta anakosa basi tutaweza mpeleka mahakamani ili aweze kujibu kosa lake na ikibidi afungwe

IGP SIRRO ameweza kuulizwa swali hilo na Sam hivi kwanini polisi mnaendelea kamatakamata kwa upinzani na hayo ndio majibu yake

Maoni