Ruka hadi kwenye maudhui makuu
MAWAKILI NCHINI WANAENDELEZA MGOMO,,,JE?KWANINI WALIOFIKA KATIKA VITUO VYAO VYA KAZI WAMEGOMA KUPIGA PICHA NA KUHOJIWA
Tundu Lissu na Kituo cha Haki za Binadamu wameungana kwa pamoja katika
kupinga kitendo cha kuvamiwa na kulipuliwa Ofisi za IMMMA Advocates.
Wameweza kutoa kauli kwa pamoja kusema kuwa awataungana na watu ambao wasaliti endapo watapata matatizo kwani,
Je?kwanini mawakili ambao wameweza kufika mahakamani na kukataa mgomo wameogopa kupigwa picha na kuhojiwa tuseme ni watu ambao awajiamini kabisa na maamuzi yao na kuonekana kama wameshinikizwa na watu kumpinga Tundu Lissu wakati kitu ambacho walichokuwa wanapigani ni tatizo ambalo ni janga leo Imma ujui kesho wapi?
Ni maneno ya baadhi ya mawakili ambao wamegoma na wamepanga kutimiza kauli yao kuwa wanagoma kwa siku mbili ili kushinikiza serikali kutoa kauli pia wamemtaka Rais Magufuli kumteuwa haraka Jaji Mkuu ili kuweza kusaidia kasimamia kazi za mahakama tofauti na sasa,
Mwisho wamelaani vikali kuwa Waziri wa sheria na katiba ,Kaimu Jaji na Mwanasheria wa serikali wameshindwa kutoa pole kwa tatizo ambalo limetokea na kukemea kwa tatizo hilo.
#Uws #Media
Maoni
Chapisha Maoni