MH LAZARO AMESEMA RC GAMBO AWEZI KUPATA UBUNGE LABDA VIJE VITI MAALUM VYA WANAUME

Mh Mbunge wa arusha mjini na Meya wa Arusha mjini leo walikuwa wanaongea na wahandishi wa habari kuhusu mkuu wa mkoa jinsi anavyoongoza mkoa wa arusha pasipo kutumia sheria mbalimbali za nchi na kutoa kauli ambazo sio njema katika kutafuta maendeleo ya mkoa,

Mkuu wa arusha kwanza ana ushirikiano na viongozi mbalimbali ndani ya arusha ndani ya chama chake anaugomvi mkubwa kuanzia mkuu wa wilaya ya arusha mjini na wanachama wa ccm mbalimbali achana na upinzani ambao kila siku anatusakama ni maneno ya Meya wa arusha mjini

Mrisho gambo amekuwa mtu wa kuwagawa watu mbalimbali ndani ya mkoa na yeye kuona anajenga kumbe anabomoa uwezi kusema unatatua matatizo ya ardhi wakati kuna mabalaza ya ardhi ni vyema ungeungana nao ili kutatua ila yeye anataka kilakitu asimamie yeye bila ushirikiano anasema anataka kutatua matatizo ya wajane,

Shida ya yote ni kutafuta ubunge ila nasema awezi kuja kupata ubunge labda kuwe na viti maalum ya wanaume ndipo atakuja kupata ubunge kwa namna ambavyo anaongoza vitina na chuki ndio zimeweza kumtawala,

TRA inadai majengo ya mkoa,wilaya na kata ya ccm na sehemu mbalimbali za ofisi ila kulipa awataki kulipa.

Maoni