MH MWAKAJOKA ATAKIWA KUKAMATWA:KAULI YA IGP KAMATAKAMATA YA WAPINZANI ITAENDELEA TUNAONA UTEKELEZAJI HUO

Habari kutoka mbeya Kamati ya Ulinzi na Usalama wilaya ya momba mkoa wa songwe imeagiza kukamatwa mara moja kwa mbunge wa jimbo la tunduma Mh Frank Mwakajoka kwa tuhuma za kuwadhihaki wateule wa Rais ambao ni Waziri Mkuu Kasiim Majaliwa ,Mkuu wa mkoa songwe Chiku Galawa na Mkuu wa Wilaya ya Momba Said Irambo

Maoni