Prof Gaudence Mpangala kutoka chuo kikuu cha kikatholiki cha Ruaha ampongeza Kikwete ila Mansoor himid kampinga kikwete.

Kikwete alitoa changamoto kwa vyama vya kisiasa barani Afrika kushirikiana.
Alisema badala ya kuuchukulia upinzani kuwa adui, wanafaa kuchukuliwa kuwa washirika katika kuimarisha demokrasia inayoheshimu sheria.
Kufuatia taarifa hiyo mchanganuzi wa maswala ya kisiasa kutoka chuo kikuu cha kikatholiki cha Ruaha Prof Gaudence Mpangala alinukuliwa na gazeti la The Citizen nchini Tanzania akisema kuwa taarifa hiyo ya rais Kikwete inafaa kupongezwa.

Mansoor Himid Kaweza kumpinga jakaya kikwete na kusema Busara hii ilikuwa wapi ulipo iangamiza zanzibar na matumaini yetu pili njoo uyaseme kwenu maneno hayo kama jasiri kweli mzee tuwache unafiki

Nini maoni yako kama mtanzania.

Maoni