RAIS MSTAAFU KARUME KATOA POLE IMMA ADVOCATES KWA MILIPUKO YA BOMU

Rais Mstaafu wnzibar Mzee Karume ameweza kutoa pole katika ofisi ambayo imepigwa na mabomu Imma Advocates na kuskitisha sana na kitendo hicho ambacho kimefanyika maeneo ya Dar es salaam maeneo ya mikocheni,

Mzee Karume ambaye pia ndie mzazi wa mkurugenzi makuu wa Imma Advocates ameweza kutoa salama za pole hizo akiwa visiwani Zanzibar na kusema kuwa tukio hilo la kigaidi maongezi ambayo yameweza kufanyika na mwanae Fatma Karume,

Toka tokeo la kupigwa Mabomu katika ofisi za Imma Advocates wahusika wa hapo wamesema mpaka leo serikali kuu ijaweza kutoa pole waka kukemea vikali juu ya tukio hili na kuona sijui kama wanaweza kupata watu ambao wameweza kuhusika

Maneno ya Fatma Karume ameweza kusema kuwa kupatikana kwa wahusika aiwezekani kupatikana kwa tunaona matukio mengi ambayo yanaendelea nchini ila atuoni wahusika kukamatwa mpaka sasa na hili sio tukio la kwanza ni mwendelezo wa matukio mabaya hapa nchini ila hili la kigaidi,

Mzee Karume ameweza kutoa salamu kwa watanzania na wanzanzibar pia,

Salamu kwako DKT Bilal

Maoni