Rais wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika(TLS) Atema Cheche Leo

Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika(TLS), awataka wanachama wote wa TLS nchi nzima kususia kuhudhuria mahakamani kufanya kazi za uwakili na kwenye mabaraza kwa siku mbili (Jummanne na Jumatano) ili kupinga shambulio dhidi ya IMMMA Advocates.


Aidha, Tundu Lissu amesema tukio hilo sio la bahati mbaya na huenda linahusika na kazi za Mawakili wa IMMMA ambao wanafanya kazi na Kampuni ya Acacia yenye mgogoro na serikali,
Tutaweza kuwaletea Video nzima 

Karibuni sana katika site yetu tutaweza kuwaletea mambo mpya.