RAISI WA MAWAKILI TANZANIA KAWEZA KUFAFANUA JUU YA MGOMO WAO WA MAWAKILI TANZANIA.

MH TUNDU LISSU

Ni vizuri ikaeleweka kuwa hatugomei mahakama au serikali au jeshi la polisi,tunagoma kupinga ugaidi na vitendo vilivyo kinyume na utawala wa sheria walivyofanyiwa wanasheria,

Hatugomi kuhudhutia mahakama kwa sababu ya kutoa somo kwa yoyote au kumuadhinu yoyote,tunafanya hivyo kupinga mabavu ,ugaidi na kushambuliwa kwa mawakili wenzetu kama kitendo cha mshikamano

Ukimya ytatuweka hatarini, Kupiga kelele kupitia nyenzo tulizonazo kutatuma ujumbe kwamba shambulio kwa wanasheria mmoja, haliwezi na halitaweza kuvumilika , Litatuma ujumbe kuwa bila ulinzi wanasheria hawatafanya kazi yao na hivyo hakutokuwa na utawala wa sheria

Maoni