Technologia ya Ulaya sasa yaweza kuingia Bara la Africa na Sasa Ipo Tanzania Pokea ili kujenga vizazi bora.

 BRAINPOWER CONSULTANCY




Siri ya Mafanikio ni Kujitambua mwenyewe na kuitumia hiyo fursa kwa
nguvu zako zote

HUDUMA ZITOLEWAZO :
1. Kubaini haiba/hulka ya mtu (20,000/=)
 Baokemikali na mfumo asilia wa maisha ya mtu
 Hisia na mpangilio wake kwa mtu
 Hali ya kitaaluma ya mtoto/kijana darasani(akili)
 Hali ya nafsi (kiroho) ya mtu
2.Njia rafiki ya kujifunza kwa mtoto hasa darasani(10,000)
3.Uchambuzi wa tabia za wawili katika mahusiano (40,000)
4.Kubaini njia rafiki ya kumlea mtoto kutokana na haiba yake(15,000)
5.Uchambuzi wa mfanyakazi mtarajiwa kabla ya kumwajiri (25,000)
6.Kubaini chagua sahihi la kazi kwa mtoto (career choice ) (30,000)
7. Kubaini karama na vipaji vya mtoto au kijana (20,000)
NB Huduma 1,2,4,6,7 kwa pamoja ni 50,000 kama ilivyoelezwa ndani

Jinsi ya kupata huduma
“Huhitaji kutueleza “chochote “ lakini sisi tunakuelezea wewe ”kila kitu”
kutokana na haiba yako.
1. Tutachukua alama za vidole vya mkono wa kulia na kushoto wa mteja
katika fomu maalumu
2. Tutaanza uchambuzi wa kina (mchakato huu wa kuchambua alama
za vidole utachukua muda wa siku mbili (2))
3. Kuandaa ripoti. Ripoti ya uchambuzi itawasilishwa kwa mteja na
hatutatunza nakala yoyote.
4. Kabla ya uwasilishaji wa ripoti, mteja anatakiwa awe ameshalipa
gharama za huduma husika akiwa na stakabadhi ya malipo.
5. Mwisho tunakaa na mteja na kupitia ripoti kwa kina huku tukimshauri
maswala fulani (hasa tabia hasi na fursa katika haiba yake) ya kitaalamu
kutokana na haiba yake kama ripoti inavyoonesha. Na
mwisho anakabidhiwa ripoti yake

DIRA
Kuwa na jamii inayoishi kwa amani na yenye maendeleo makubwa
yanaochagizwa na watu kutumia vipaji na karama zao
katika kazi za kujiletea kipato na maendeleo.

DHIMA
Kubaini haiba ya mtu mmoja mmoja ili kugundua namna ya
kumlea mtoto, njia ya kumfundisha na kujifunza mtoto, kuvumbua
na kuvilea vipaji na karama, kutofautisha haiba
kati ya watu wawili kupitia alama asilia na pekee kwa binadamu,
kutoa ushauri wa kitaalamu kulingana na haiba ya
mtu ili aweze kunufaika na uwezo wake chanya asilia.
Kauli mbiu: Siri ya Mafanikio ni Kujitambua mwenyewe na kuitumia
hiyo fursa
Usiri wa taarifa zako ni tunu muhimu katika kutoa huduma zetu

Je unatamani na kupenda
 Kutengeneza kikosi kazi bora na chenye ufanisi mzuri?
 Kufahamu uwezo na udhaifu wako wa asilia?
 Kufahamu uwezo na udhaifu wa mpenzi au rafiki yako?
 Kujua wito wa kazi yaani career choice (udaktari, ualimu,
,uandisi ,uchungaji nk) ya mwanao hapo baadae?
 Kufahamu ni kwa kiasi gani wewe na rafiki, mpenzi, mke, mume,
mfanyakazi wako mnavyorandana na kutofautiana kitabia ?
 Kuajiri mfanyakazi bora ambaye ataimudu vyema kazi
iliyotangazwa?
 Kufahamu njia nzuri na rafiki ya kujifunza kwa mtoto wako
kutokana na haiba yake?
 Kufahamu njia nzuri na ya mafanikio ya kumlea mtoto wako pasipo
kubahatisha tu? [achana na tabia ya kumlea mtoto kimazoea]
 Kujua na kufahamu vipaji na karama zako na za mwanao ?
 Kufahamu uwezo wa kitaaluma wa mwano na namna sahihi ya
kumsaidia katika masomo yake hasa kwa kumjengea mazingira
wezeshi ikiwa ni pamoja na kumtafutia shule yenye kutoa
mchango unaohitajika kitaaluma
Ndio! Inawezekana kwa asilimia 85 hadi 95 kujibu mahitaji au mata-manio yote ya hapo juu kwa kupitia uchambuzi wa kisayansi wa alama za vidole (fingerprints) ambao umejikita katika sayansi ya ubongo wa binadamu (neuroscience) pamoja na elimu ya tabia za binadamu (psychology).
Kwa sasa huduma zifuatazo zinatolewa :-

A. Uchambuzi wa kawaida wa haiba yako (10,000/=)
Kupitia hii huduma, tutabaini vipengele sita vya haiba yako na kuandikia ripoti yake .

B. Uchambuzi wa kina wa haiba yako (50,000/=)
Kila mwanadamu yuko tofauti na mwenzake kitabia hata mapacha ha-wafanani kabisa kitabia. Hii huduma itabaini na kuonesha upekee na utofauti wako kwa kina hasa kwa kuangalia zaidi ya vipengele 20 vya haiba yako kama vile hisia, uwezo wa kufikiri na kuchambua mambo, uthubutu, kujiamini, namna unavyoshirikiana na wenzako , karama na vipaji, udhaifu na uwezo wako asilia nk. Kumbuka uwezo wako asilia ni fursa tosha ya kimaendeleo.
3
C. Uchambuzi wa Tabia za wachumba au watu wawili wenye lengo la kuingia ubia kibiashara au kuishi pamoja (40,000/=)
Ni vema ukamjua na kumfahamu mtu mapema kabla ya kufanya nae maagano au mkataba wa kuishi pamoja au kibiashara. Kuna watu wamepoteza amani ya nafsi au mitaji yao ya kibiashara kwa kuingia mikataba au ubia na mtu ambaye si sahihi kihaiba na kitabia.

D. Uchambuzi wa kufahamu haiba , vipaji na karama za mtoto (50,000/=)
Watoto ni rasiliamali pekee ya familia na taifa kwa ujumla.
Je wajua kuwa fursa ya mafanikio ya mtoto wako inapatikana kwenye haiba yake? Kila mtoto ana karama na vipaji ambavyo vikigundulika mapema vy-aweza kuwa ni chachu kubwa ya maendeleo yake binafsi na kwa taifa lake.”Hayupo mtoto duniani ambaye ni kilaza”. Kila mtoto ana akili hasa akiwa katika eneo lake analolimudu zaidi kutokana na uasili wake. Huwezi ukamhukumu samaki kwa kushindwa kupanda juu ya mti kwa kuwa sio eneo lake asilia. Vivyo hivyo huwezi kumhukumu nyani kwa kushindwa kuogelea ndani ya bwawa la maji kwa kuwa sio eneo lake asilia.
Hivyo basi hekima ya mzazi na serikali kwa ujumla ni kuwekeza kwa mtoto hasa baada ya kubaini haiba, vipaji na karama za mtoto. Kupitia huduma hii, uchambuzi wa kina wa haiba, na ugunduzi wa vipaji na karama za mtoto uta-fanyika na mwisho ripoti ya kina itatolewa.

E. Uchambuzi wa mtahiniwa wa kazi yaani mfanyakazi mta-rajiwa (25,000/=)
Kumbuka mtu anavyoongea au onekana si mara zote ni vile alivyo kiasi-lia.Watahiniwa wa kazi walio wengi wamekuwa na wasifu (CV) ambao ukiu-soma unaonekana ni wa kuvutia. Huu wasifu wa watahiniwa wa kazi mara nyingi umekuwa ukipingana na kukinzana na uhalisia wa tabia ya mtu asilia katika kipindi cha matazamio au baada ya kuajiriwa rasmi. Hii imekuwa ni changamoto kubwa sana kwa makampuni na taasisi mbalimbali nchini, kwa kupata hasara kutokana na kuajiri watu wasiokuwa na haiba nzuri kulingana na kazi wanazofanya na hivyo kuwa na utendaji kazi usioridhisha. Kupitia ucham-buzi huu, mwajiri anaweza kubaini mtahiniwa wa kazi anayekidhi vigezo hasa kupitia haiba yake asilia. Vile vile mwajiri anaweza kutumia hii huduma katika kuamua na kupanga timu ya wafanyakazi, kuwaendeleza wafanyakazi kitaa-luma au kumhamisha mfanyakazi kutoka idara moja kwenda nyingine na kum-pandisha daraja

Tunaonyesha njia halisi ya maisha yako
Mawasiliano
Simu: 0768683758
Barua pepe mwangazapctds@gmail.com
Tunapatikana Iringa Mjini kata ya Mivinjeni
Katikati ya Msikiti wa Hidaya na Hoteli ya Longoi

Maoni