Wakili Hashimu Rungwe Kaungana na Mawakili ila Polisi Wapingana na mawakili juu ya mgomo hapo kesho na kesho kutwa.



Hashimu Rungwe nae ameweza kumuunga mkono Rais wa mawakili Tanzania kwa kusema siku ya jumanne na jumatano mawakili wote nchini amna kufanya kazi kuweza tano  serikali na vyombo vya usalama kusimamia swala la kupigwa kwa mabomu jengo la mawakili la Imma Advocate
Jeshi la polisi nalo latoa tamko kuhusu mawakili kufanya kazi siku ya jumanne na jumatano na ambaye atashindwa kufika sehemu yake ya kazi watachukuliwa hatua kali za kimaadili na kuwafikisha katika kamati zao za maadili za mawakili tamko limetolewa na kaimu wa IGP Sirro,

Wamesema kuwa wanaendelea na uchunguzi wa uvamizi huo sasa aina maana ya kugoma kufika katika vituo vyao vya kazi ili kuweza kuwasaidia wateja wao ambao wanategemewa kuweza kuwasaidia,
Tupo katika uchunguzi tutakapo fikia tutatoa report ya uvamizi huo,

Tutaedelea kuwapatia habari ambazo zinaendelea juu ya uvamizi wa kupigwa mabomu jengo la Imma Advocates.

SOURCE: #UWS #MEDIA

Maoni