ALICHOSEMA MH LUCY MAGERELI KUTOKEA KUPIGWA RISASI MH TUNDU LISSU

Hawa watu wasiojulikana ni wakina nani hawa??
Waliomteka Roma ni watu wasiojulikana
Waliopiga bomu Imma advocates ni watu wasiojulikana
Yule Prof wa sheria Juan Thimoth Mwaikusa aliuwawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana
Dr Sengondo Mvungi aliuwawa kwa kukatwa mapanga nyumban kwake na watu wasiojulikana 
Na leo watu wasiojulikana wamemvamia Lissu na kumshambulia kwa utitili wa risasi. Aisee hawa watu WASIOJULIKANA WAMEKUWA WENYEJI SANA NCHINI. 
Ni hatari aiseee ......Hawa watu wasiojulikana ni wakina nani hawa!!!

Maoni