ANNA MAKINDA AMWOMBEA MH LISSU KUPONA ILI TUWEZE KUWAJUA WABAYA NDANI YA NCHI YETU

Spika wa bunge mastaafu Anna Makinda  ameweza kustikitishwa na kupigwa kwa Risasi zaidi ya 30 kwa mbunge huyo ambaye amekuwa na mchango mkubwa sana katika taifa letu nakumbuka sana uwezo mkubwa wa sheria kipindi nikiwa spika alikuwa anaweza kusimamia vyema sheria nami niliweza kumtambua kwa uwezo wake mkubwa,
Tunatakiwa kukemea vibaya tukio ambalo limeweza kutokea kwa mh lissu na kama tukishindwa kukemea na kupatikana kwa wahusiaka ambao wameweza kufanya tukio hili nafikiri haya matukio tutaweza kuyatokomeza ila tukinyamaza kimya tutakuwa tumewapa nafasi waweze kuendelea na matukio,
Vyombo vya usalama vinatakiwa kusimamia swala hili vyema sana na uweledi mkubwa ili kuweza kupatikana kwa wahusika na kuchukuliwa hatua kali za kisheria,

Nchini yetu inatakiwa kuwa na amani maana tuna historia kubwa africa na dunia kwa amani iweje watu wanatokea kuweza kupoteza amani yetu,
Namwembe Mh Lissu aweze kupona haraka na kuendelea na harakati nyingine za kisiasa katika kusimamia nchi.
Akiongea na Uws Media amesema mungu ataweza kutenda miujiza mikubwa sana
Anna Makinda Tuendelee kumwombea Lissu.

Maoni