Kamanda wa Polisi Kanda maalumu Lazaro Mambosasa Kakosa cha Kusema Kukamatwa kwa Rungwe.

Aliyekuwa mgpmbea urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, Hashimu Spunda Rungwe anashikiliwa na jeshi la polisi kwa siku nne sasa ,
Rungwe ambaye ni Mwenyekiti wa chama cha umma (Chaumma) anashikiliwa katika kituo kikuu cha Polisi cha kanda maalimu ya Dar es salaam akituhumiwa kughushi nyaraka
Kamanda wa polisi kanda maalumu Dar es salaam Kamanda Lazaro mambosasa hakutaka kuingia kwa undani kuhusu suala hilo akisema hana taarifa za kutosha

Wanaharakati mbalimbali wanalaani vikali kukamatwa kwa Hashimu Rungwe ameweza kukamatwa baada ya kupaza sauti juu ya sakata la kukamatwa kwa Tundu Lissu juu ya kuuongea swala la bombadier na kusema kuwa serikali kwanini inamkamata Lissu kwani kakosea wapi?kusema hayo je?kama kuna uvamizi wa nchi ukiwa unapangwa kufanyika na Lissu akatoa maelezo napo mtamkamata,

Wanaharakati mbalimbali wameweza kusema hashimu rungwe kakamatwa kisiasa na sio kugushi kitu maana ni siku kazaa aliweza kufanya hayo na kuunga mkono mgomo wa mawakili baada ya kuchomwa kwa ofisi ya mawakili ya Imma Advocates,

Tutaendelwea kuwapa habari zaidi

UWS MEDIA


Maoni