KAMANDA MAMBOSASA ALISEMA UKIONA POLISI ANAFANYA KAZI KWA KAULI KUTOKA JUU UJUWE AJIAMINI.JE? NAE AJIAMINI.

Polisi walivamia jana makao makuu ya Chadema na kukamata watu wote waliokuwa wamevaa Tshirt zenye nembo "PRAY FOR LISSU", pia wamevamia baadhi ya maduka jirani na makao makuu ya Chadema na kuchukua Tshirt zote zenye nembo ya "PRAY FOR LISSU" zilizokuwa zikiuzwa. Serikali inazisaka Tshirt zenye maneno "Pray For Lissu" kuliko inavyowasaka "waliompiga risasi Lissu".

Watanzania wanasema Karibu Tanzania, Nchi Ambayo Waliompiga Mbunge Risasi 38 Hawakamatwi Lakini Wanaomuombea Apone Haraka Ndio Wanaokamatwa !!

Kamanda mambosasa aliweza sema awezi kuingia kwenye siasa katika mda wake na ataweza kufanya kazi kwa ufanisi mkubwa sana pasipo kuskia kauli zozote kutoka juu kwani kuna sheria za kazi nitaweza kusimamia sheria za nchi kwa ufasaha na sitoweza kuskia habari ya kauli kutoka juu ila ni mda mchache toka aweze kusema ila wananchi wanashindwa kumwelewa nameweza kuingia kwenye siasa.

Watanzania  wanatoa  maoni yao kwa kuumia sana moyoni.






Maoni