KENYATTA KAENDELEA KUONGEZA KURA BAADA YA KUJENGA HISTORIA KUBWA YA KUSIMAMIA DEMOKRASIA.

Kwa nini nakuunga mkono UHURU KENYATTA 
1 ...AFRIKA imekuwa ni chaka LA aibu 
Ukitaja watu kama 
MUSEVEN
MUGABE 
KABILA
NKURUNZINZA
KAGAME
ni kama umetaja walimu wa kubaka demokrasia, ni kama umetaja wafuasi wa shetani walioko madarakani
Na ugonjwa huu unakula taratibu kuja TANZANIA YETU
halafu wanakuwa wakali kuwa wasiingiliwe na mataifa ya ulaya
KENYA mmetutoa kimaso maso na kuonesha kuwa wananchi wanaweza kusema na Rais pamoja na kuwa na jeshi bado ukafuata katiba
....
Raila odinga ni Ndugu yangu wa kwetu kabisa kama ni ukabila ningemuunga yeye
Lakini kwa ajili ya demokrasia ndio maana naunga mkono ulipoifikisha Kenya
LEO KENYA MAHAKAMA IKO LIVE
SISI HATA BUNGE TUNAOGOPA KUWEKA LIVE
Museven anajibadilishia umri nini anatufundisha hawa ndio wanasambaza udikteta kama njugu kuja hata Tanzania imani yao ni kuwa upinzani ni uadui


kUTOKA KWA CHACHA HECHE  KUTOKA MUSOMA

KAMA UNA HABARI YAKO TUNAWEZA KUWASILIANA NAMBA +255752301110

Maoni