KIFO CHA WANACHAMA WA CHADEMA NA DIWANI WA VITI MAALUM KIMEWASHTUA WAPAMBANAJI TANZANIA.

TANZIA: Diwani wa Viti Maalumu wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Ester Mpwiniza amefariki dunia jioni hii.

Kifo chake kimesababishwa na shinikizo la damu ambapo alianguka ghafla akiwa nyumbani kwake na kukimbizwa Hospitali ndipo umauti ulipomkuta

Ratiba mbalimbali tutaweza kupeana kupitia chombo chetu cha habari,

UWS MEDIA.

Maoni