MH ESTER BULAYA AWASAMEE WALE WOTE WALIOMTAKIA KIFO KIPINDI ANAUMWA

Baada ya kuuwa ghafra kwa mda kidogo ana kupelekwa bungando na baada ya hapo kupelekwa mhimbili mpaka kuwa salama kwasasa Mh Ester Bulaya ameweza kuonekana kuwa ni mpambanaji wa ukweli katika taifa letu toka alivyokuwa Ccm kama mbunge wa viti maalum na sasa yupo Chadema ni Mbunge wa Jimbo la Bunda ,
Uwazi wake na usimamiaji wake kwenye mambo mbalimbali ya wanawake ndio sababu kubwa yeye kuweza kupata tuzo hiyo ya usimamiaji wa bora wa haki za wanawake Tanzania na ni tuzo ya heshima kubwa na mfano mkubwa wa kuigwa kwa wanawake wengine ili waweze kusimamia haki za wanawake popote walipo pasipo kuwa na tofauti za kichama,

Mh Bulaya ameweza kusema kuwa tuzo hii imeweza kumpa hali mpya ya kupambana zaidi juu ya kutafuta haki za wanawake,
Kuna watu wengi kipindi cha anaumwa walikuwa wanamtakia mabaya sana ila kasema amewasamee kwani awatambui walitendalo maana walikuwa wananitakia kifo tena wanawake wenzangu wengina ila mimi namwomba mungu anisimamie kwani yeye ndie msimaizi wa binadamu wote

Ujumbe wa Ester Baada ya kupata Tuzo
Ester Bulaya ameweza kuonekana
Asante Tgnp kwa tuzo hii, kama mwanamke mpambanaji Wa haki Za wanawake.tuzo hii iende kwa Mh mdee , Ana Makinda na Mh Anna Abdala.kwa kunitiamoyo kwenye harakati zangu

Maoni