MH HECHE NA HOJA BINAFSI YA MABADILIKO YA KATIBA SASA VIONGOZI KUKAA MADARAKANI MIAKA 4 WABUNGE WAKIUNGANA KUPITISHA.

Mbunge wa Tarime Vijijini, Comrade John Heche atawasilisha hoja binafsi bungeni ili bunge lijadili na kufanya mabadiliko ya katiba ili kuweka ukomo wa viongozi wa kuchaguliwa (madiwani, wabunge na rais) kukaa madarakani kwa miaka minne (4) tu kama wanavyofanya Marekani. Ikumbukwe kuwa mbunge wa CCM, Juma Nkamia yeye atawasilisha hoja binafsi kama hiyo lakini akitaka viongozi hao wakae madarakani kwa miaka saba (7) kama ilivyo Rwanda.
Bunge lijalo litaweze kuwa na vitu vya msingi vya kujadiri juu ya hoja binafsi ya mh heche ili kuweza kupata ufumbuzi zaidi.
Wewe una maoni gani?

Maoni