MH SALIM MWALIMU UWEZI KUMTAFUTA MCHAWI WAKATI MCHAWI ANAJULIKANA,,USALAMA TUNATAKA MAJIBU.

Mh Salimu Mwalimu ameweza kuongea pasipo kupepesa macho na kusema kuwa uwezi kusema uvamizi wa Tundu Lissu auwezi kuhusishwa na maswala ya kisiasa kwani tukio zima lipo wazi na pia aliweza kutoa maelezo yote kwenye vyombo vya sheria juu ya kufatiliwa kwake kwa mda mrefu ila vyombo vya usalama vikawa kimya katika kusimamia hilo,

Ata mtoto mdogo anatambua ni nani kaweza kufanya mipango ya kupigwa risasi kwa Lissu kwani tumeweza kushuhudia matukio ya kukamatwa kwa Mh Lissu mara kwa mara na mara ya mwisho ameweza kuitisha mgomo mkubwa kwa mawakili nchi nzima juu ya uvamizi wa IMMA ADVOCATES ni siku chache sana toka mgomo huo kutokea ila sasa ameweza kupigwa risasi atuwezi kuangaika kumtafuta mchawi mpaka sasa mchawi anajulikana ni namna gani? Vyombo vya usalama kuweza kuchukua hatua kali juu ya tukio hilo na kuwachukulia hatua kali kwa wote ambao wamefanya,

Usalama wakishindwa kuchukua hatua tunaweza kulipeleka taifa pabaya sana kwa namna hii ambavyo nchi inaenda kwa matukio ya kutisha vibaya mno,

Usalama meweza kupewa maelezo mengi juu ya tukio hilo gari?ambalo limeweza kutumika na baadhi ya wabunge akiwa Nape Nauye mbunge wa mtama ameweza kueleza juu ya hilo gari?

Wahusika wanatambulika vyombo vya usalama mnatakiwa kuwachukulia hatua bila hivyo mnapeleka taifa letu pabaya maana mpaka sasa tumefika sehemu mbaya mno,

Uwezi kumtafuta mchawi wakati unamjua mchawi,

Mh Salimu Mwalimu


Maoni