MH SIMBACHAWENE KATIKA MAJONZI MAKUBWA JUU YA MH LISSU MPAKA KUSAHAU MATATIZO YAKE

Habari kutoka kwa mtu wa karibu Mh Simbachawene yupo katika maombi makubwa juu ya  kupona kwa Tundu Lissu na kukemea vikali watu ambao wameweza kupanga jambo hilo

Mh ameweza kusema kuwa mungu mkubwa kuliko shetani na mungu anaweza kumuumbua shetani waziwazi watu wakatambua kwani hawa watu ambao wametenda tukio hilo ni mashetani wakubwa sasa mungu anataka kuwaumbua na tuendelee na maombi lazima wataumbuka ,

Mh matukio kama haya yanalipeleka taifa letu pabaya sana na mwisho wa siku kutakuwa na matukio ya kutisha zaidi ya hapa maana tulipo sio pazuri,
Mh ameweza kusema kuwa nimesahau mpaka ambayo yamenitokea na mawazo yote yapo kwa Mh Lissu kwa kufanyiwa tukio la kinyama ambalo lijawahi kutokea.

Mwisho Mungu atamsimamia Mh Lissu na kupona kuja kulisimamia taifa lake kisheria.


Maoni