MH TUNDU LISSU ANENDELEA KUUMIZA VICHWA VYA WATU DUNIANI JUU YA SHAMBULIO LAKE MJADALA UMEFIKA UN.

Dunia inazidi kutujadilia kwa mabaya na sio kwa mazuri tena kama Mwalimu Nyerere alivyotuachia taifa, Mzee Mwinyi alivyotuachia taifa, Mzee Mkapa alivyotuachia taifa, Mzee Kikwete alivyotuachia taifa.

Leo mjadala wa dunia ni jaribio la mauaji ya Mzalendo wa KweIi Tundu Lissu

Ulimwengu umesimama na Tundu Lissu juu ya shambulio ambalo ameweza kufanyiwa na watu wasiojulikana nje ya nyumba yake mjini Dodoma na mpaka sasa
Maombi yanaendelea maeneo ya nchi kuweza kumwombea na kuchangia pesa za matibabu watanzania wameweza kuondoa itikadi za vyama na kuweza kumchangia tundu lissu aweze kupona


Maoni