MSIGWA AZUILIWA KUFANYA MKUTANO WA KIBUNGE
Jeshi la Polisi limemzuia Mh. Peter Msigwa kufanya mkutano wa kibunge kata ya kitwiru kwa kile kinacholiitwa "taarifa za kiintelijensia" na "utokeaji wa vurugu".
Kazi ya jeshi la polisi ni kuthibiti, kuzuia na kutuliza vurugu zozote. Huu ni mwendelezo wa jeshi la polisi Tanzania kutozingatia ueledi.
Maoni
Chapisha Maoni