MWENYEKITI WA BAVICHA TAIFA KATAMBI KATOKA TAMKO KALI JUU YA MWENDELEZO WA MATUKIO MABAYA NCHINI.

Tanzania kila kukicha matukio makubwa yanaendelea kufanyika ila wahusika kupatikana ni ndoto za alinacha mpaka siku ya nyuma baada ya kupigwa bomu IMMA ADVOCATES Wakili Fatma Karume aliweza kusema kuwa Sizani kama kuna mtu ataweza kukamatwa kwa tukio hili maana tunaona matukio yanaendelea ila amna mtu ambaye anapatikana mpaka sasa,
Kwahiyo vyombo vya usalama vinasema kuwa ni watu wasiojulikana wameweza kufanya tukio hilo je?hao watu ni kina nani?mbona kila matukio makubwa imekuwa hivyo na usalama wa raia upo vipi?mpaka sana na mali zao, 
Bavicha wameweza kuendelea na maombi kutokana na kupigwa risasi Mh Lissu na kufanya maandamano baadhi ya maeneo na kulani vikali juu ya tukio la kusikitisha,

Tundu Lissu aliweza kutoa taarifa juu ya kufatiliwa ila amna mtu ambaye aliweza kusema chochote au kusimamia tatizo la kufatiliwa kwa Lissu kwanini kulikuwa na kiza Nene
Kama hao watu wasiojulikana hawawezi kupatikana, basi nasi tutatumia njia zisizojulikana kuwatafuta hao watu wasiojulikana
 
Patrobas Katambi.. 
Mwenyekiti BAVICHA Taifa.

Maoni