RC wa Dar es salaam akikubali jina lake halisi ni Daudi Bashite nipo tayari kufanya nae kazi.

Niko tayari kufanya kazi na RC wa Dar es salaam kama atakubali kuwa jina lake halisi nI  Daud Albert Bashite na elimu yake ni darasa la saba na sio Paul Makonda . Nimemshtaki Tume ya maadili kwasababu Nina ushahidi wa kutosha unaoonyesha RC amefoji cheti , wapo waliosoma naye , wapo walimu waliomfundisha ambao wako tayari kuja kutoa ushahidi kuwa RC anatumia cheti fake na kama kuna watu wamefukuzwa kazi maelfu kwasababu ya vyeti fake kwanini yeye asishugulikiwe ?
Mh Boniface Jacob  Dar es salaam.

Maoni