Rwanda yatanda hofu kupotea kwa mpinzani mkubwa wa Kagame

Ni siku zimepita toka kupotea kwa binti huyu ambaye alikuwa mpinzani mkubwa wa kagame,
Family ya binti huyu inalipa shutuma usalama wa taifa wa nchi hiyo kwani wenye ndio waliweza kwenda ngumbani kwao na kumchukua,
Idara ya usalama ya nchi hiyo imeweza kupinga vikali shutuma hizo na kusema kuwa wanafanya uchunguzi yupo wapi!
Na sasa wananchi wanalalama Kila sehemu za rwanda kuhusu mwanaharakati huyo ambaye aliweza kukatwa na tume ya uchaguzi kwa kukosa vigezo vya wazamini pia aliweza kupata kashfa ya picha za ngono kabla ya  uchaguzi kuanza,
Wananchi wanasema kupotea kwake ni mambo ya kisiasa.

Maoni