SAKATA LA KUFOJI VYETI MKUU WA MKOA WA DAR KUIBUKA UPYA KWA KASI NYINGINE.

LEO siku ya ALHAMIS tarehe 28 Sept 2017 Saa Nne asubuhi.
Mimi BONIFACE JACOB,Mstahiki Meya *Manispaa ya Ubungo nitafika Ofisi ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa umma* mtaa wa Ohio,jijini Dar es salaam
Kama nilivyoitwa na barua yenye kumbukumbu Na. CAG 31/37/01/42*
LEO nikitoka kwenye Mahojiano hayo na Tume ya Maadili nitaongea na Vyombo vya habari juu ya... 
1.shauri langu dhidi ya RC DSM kuhusu kugushi vyeti na malalamiko mengine manne.
2.Juu ya vishawishi,na Vitisho katika kulimaliza shauri hilo lisiendelee.
3.Kutoridhika na Mwenendo wa shauri hilo linavyofanywa kwakuchelewa na Usiri Mkubwa sana.
Tangazo hili nimelitoa mimi mwenyewe, Jana tarehe 27 Jumatano 2017
Boniface Jacob
Mstahiki Meya 
Manispaa ya Ubungo.

Maoni