Team Wcb wanyoosha mikono juu kwa Team Mange na Team Kiba



Mange kimambi aendelea kuwa mwiba mkali kwa serikali ya Tanzania baada kuwa anaeleza siri mbalimbali na mipango mibovu ya serikali kwa ujasili mkubwa sana na kuonekana kama mchochezi ila anaeleza mambo mengi kwa uwazi na ukweli ila baadhi ya watu wachache wanamwona mange kimambi ni mchochezi ila ni msichana ambaye ni faida kubwa kwa serikali na kama serikali ya tanzania ingeweza kutumia vitu ambavyo anavisema nafikiri nchi ingeweza kunyooka vibaya ki demokrasia na kimaendeleo,
Mange Kimambi ameweza kuwa na Team kubwa Tanzania na Dunia kwa ujasiri wake ambao ameweza kuonyesha na pia inasemekana kuwa ndie ameweza kumpa msaada mkubwa Ally Kiba kuweza kupata watu wengi zaidi kuweza kuangalia nyimbo yake mpya ya Seduce Me ambao week moja imeweza kupata watu million tatu kuweza kutazama nyimbo hiyo YouTube na kuwafanya Wcb kutesema kupata watu wa kucheki katika YouTube ingawa wao wapo kama kundi inasemekana kwasasa Kiba yupo juu vibaya Tanzania ,Africa na Dunia kaweza kutambulika mpaka kuongia katika shindano MTV BASE

Kuna watu wanasema serikali inashindwa kumtambua kuwa mzalendo wa nchi na kumwita mchochezi ila wananchi wengi wanampenda sana ila kuna siku watakuja kutambua mchango wa Bint Huyu ambaye anaishi marekani ila ni mtanzania mzalendo,

Kumbuka David Beckham alikuja tanzania ila aliweza kuficha yupo wapi? Mange Kimambi aliwezakusema kuwawatanzania nendeni katika page yake na mseme Tanzania mpaka Dunia ikatambua yupo Tanzania.

Maoni