UMMY NA NDUGAI WAINGIA KWENYE KESI YA WATU WASIOJULIKANA.


 Mwenyekiti Wa Chadema Taifa
Wanajikosha sasa hivi wakati kipindi kile walikataa kutoa pesa za matibabu leo wanakuja wanataka barua ya maombi kuhusu Tundu Lissu kutibiwa wakati wenyewe walivyokuwa wanaumwa mke wake aliandika barua ya kuomba pesa,
Atuwezi kuchukua pesa za masharti watanzania wanyonge wenye vipato vya chini wameweza kuchangia na cha juu wakiwemo watanzania waishio marekani kazi kubwa imefanywa na Wema Sepetu na Mange na wengine wengi mpaka mnaona hayo makablasha ni namba za watu mbalimbali ambao wameweza kumchangia Lissu mpaka sasa hali inaendelea kukaa sawa,

Leo wametokea wapi?wengine niliwapa account za kuweka pesa imekuwa kama deni vile wakati wabunge ndio walichanga sasa nataka kusema wazi kuwa hawa wanajikosha kwa wananchi,,

Tutaendelea kukueletea baadhi ya kauli zake katika press ya leo ya mh mbowe.

Maoni