WATANZANIA WANAOMBA SPIKA WA BUNGE NDUNGAI AJIBU MAJIBU HAYA KWA UFASAHA NDIPO AFANYE UBABE BUNGENI.

Kwanini siku za bunge zimepunguzwa? Huu mkutano ulipaswa kukaa kwa wiki 3, kwanini umefanyika wiki 2? Hata mwaka jana ulifanyika kwa wiki mbili pia. Hta vikao vya kamati zamani vilikuwa vinafanyika kwa siku 14, Sikh hizi ni siku 7. Kwanini? Kanuni zimebadilika? Pesa hakuna? Hoja zimeisha? Au wabunge wanaonekana wanapoteza muda tu, hakuna wanachoweza kuamua? Na maamuzi ya kupunguza siku yalifanyika lini? Wapi? Saa ngapi? Na nani? Kwanini? Anybody know...?

Maoni