WATANZANIA WAPINGA KAULI ZA MWIGULU JUU YA KUVAMIWA KWA LISSU NA NAPE WAMKUMBUKA BEN SAANANE.

Serikali kupitia kwa Waziri wa Mambo ya ndani Mwigulu Nchemba imesema kuwa, Gari iliyotajwa na Tundu Lissu imefuatiliwa na DCI na imebainika kuwa iko Arusha na haikusafiri kuelekea Dar Es Salaam alikokuwa Mbunge huyo. Pia ameeleza kuwa wanasubiri Tundu Lissu ili akifika avisaidie vyombo vya dola upelelezi.

Aidha, Waziri amefafanua kuwa, mtu aliyemtolea Nape Nnauye bastola hadharani si Askari wa Jeshi la Polisi na hakuvaa sare hivyo ni ngumu kumtambua.

Ni maneno ya Mwigulu Nchemba ambayo yameweza kuleta maneno mengi katika mitandao ya kijamii ,

Toa maoni yako.

Maoni