PIMA CV HIZI ZA MARAIS HAWA KATIKA KUWATUMIKIA WANANCHI, KISHA SEMA NI RAIS YUPI ANASTAILI KUOMBEWA?
……………………………………………………………………………………
1. Rais wa jamuhuri ya muungano wa tanzania JOHAN POMBE MAGUFULI anakumbukwa na watanzanzania wanyonge kwa kuwabomolea nyumba zao toka akiwa waziri mpaka leo akiwa rais.
……………………………………………………………………………………
1. Rais wa jamuhuri ya muungano wa tanzania JOHAN POMBE MAGUFULI anakumbukwa na watanzanzania wanyonge kwa kuwabomolea nyumba zao toka akiwa waziri mpaka leo akiwa rais.
2. Rais wa TLS TUNDU ANTIPHAS LISSU anakumbukwa na watanzania wanyonge kwa kuwatetea na kuwatoa gerezani wananchi 466 watarime walio kuwa wamefungwa kwa kosa la kupinga muwekezaji kuwanyang'anya ardhi yao.
3. Rais wa jamuhuri ya muungano wa tanzania JOHAN POMBE MAGUFULI anakumbukwa na watanzanzania wanyonge kwa kuwatamkia wananchi wa kigamboni kwamba Kama hawataki kupanda kivuko cha mv magogoni wapige mbizi.
4. Rais wa TLS TUNDU ANTIPHAS LISSU anakumbukwa na watanzanzania wanyonge kwa kupigwa marufuku na serikali asikanyage NYAMONGO kwa sababu ya harakati zake za kuwatetea watanzanzania wanyonge wanao ibiwa lasilimali zao na wawekezaji.
5. Rais wa jamuhuri ya muungano wa tanzania JOHAN POMBE MAGUFULI anakumbukwa na wavuvi wa kanda ya ziwa na pwani kwa kuwanyanyasa na kuwanyang'anya samaki na nyavu zao.
6. Watanzania wanamkumbuka RAIS WA TLS TUNDU ANTIPHAS LISSU alivyo pambana na kaka yake ALUTE LISSU mahakamani kwenye kesi ya kupinga ubunge wa MHE LEMA' ALUTE alikuwa akiitetea ccm na LISSU akiitetea CHADEMA.
7. RAIS wa jamuhuri ya muungano wa tanzania JOHAN POMBE MAGUFULI anakumbukwa na wanchi wanyonge kwa kuwambia serikali yake haina shamba wasitegemee serikali itawapelekea chakula.
8. Rais wa TLS TUNDU ANTIPHAS LISSU anakumbukwa na wananchi wanyonge kwa kujitokeza hadharani na kuwapa pole juu ya kauli za MAGUFULI sisizo sitaili kutolewa na mkuu wa nchi.
9. Rais wa jamuhuri ya muungano JOIN POMBE MAGUFULI anakumbukwa na wananchi wa nyonge wa kagera kwa serikali yake kuwadhurumu fedha zilizo changwa kwaajili ya kuwasaidi kwa kupata tetemeko la ardhi.
10. Watanzanzania wanyonge watamkumbuka rais wa TLS TUNDU ANTIPHAS LISSU alivyo pambana na serikali ya mkapa isiuze rufiji Delta kwa muwekezaji Nolani, hadi benk ya EIB ikagoma kutoa mkopo kwa Nolan.
11. Rais wa jamuhuri ya muungano wa tanzania JOHAN POMBE MAGUFULI anakumbukwa na wananchi wa nyonge kwa kubariki kitendo cha POUL MAKONDA kuvamia na kuwatisha wafanyakazi kisa walikataa kurusha kipindi cha shilawadu kilicho kuwa na nia ya kumchafua mtumishi wa mungu Bishop gwajima.
12. Wananchi wa nyonge wa kanda ya ziwa wanamkumbuka rais wa TLS TUNDU ANTIPHAS LISSU alivyo mtetea marehemu CHACHA WANGWE kwenye kesi 10 za jinai na kuzishinda.
13. Wananchi wanyonge rais wa jamuhuri ya muungano JOIN POMBE MAGUFULI alivyo wambia hataki kusoma mabango yao waende wakayasome wao vyumbani mwao.
14. Watanzani wanamshangaa rais wa TLS TUNDU ANTIPHAS LISSU kwani tangu 2001 amekuwa akishtakiwa kwa makosa ya uchochezi lakini mpake leo hajawai kukutwa na hatia.
15. Rais wa TLS TUNDU ANTIPHAS LISSU anazo simamia halipwi chochote na wananchi wanao watetea ila fahari yake nikuona wanchi wanyonge wanashinda makisi ya kisingiziwa.
16. Watanzania hawatamsaau rais wa jamuhuri ya muungano wa tanzania JOHAN POMBE MAGUFULI alipo waruhusu polisi wa usalama barabarani kuchukuwa rushwa eti niya dawa ya kusafishia viatu.
17. Kwa umakini na ujasiri wa rais wa TLS mwaka 2010 JAKAYA KIKWETE aliwai kusema niafadhali DR SLAA AWE RAIS kuliko TUNDU ANTIPHAS LISSU kuwa mbunge.
18. Watanzania wanaishangaa roho ya rais wa TLS TUNDU ANTIPHAS LISSU kwani hutumia fedha zake kuzunguka nchinzima kwaajili ya kuwatetea wananchi mahakamani.
Maoni
Chapisha Maoni