BAADHI YA VIONGOZI WA CHASO WAMTEMBELEA MH LISSU NAIROBI.


Taarifa kutoka Nairobi.
Chaso Team wamtembelea mheshimiwa Lisu Nairobi Hosp. Kumjulia hali.
Hakika Mungu amefanya jambo jema kwetu Watanzania.
Mungu anaimarisha afya yake siku hadi siku. Na uwepo wetu karibu yake, ni faraja tosha kwa hali yake na familia yake.
Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu. Msaada utakao onekana tele, wakati wa mateso.

Maoni