HON NYALANDU KAFUNGUKA NA KUWAONYA WABUNGE KUSIMAMIA VITU VYA HOJA ZA MSINGI JUU YA TAIFA.


Hon: Lazaro Nyalandu.

Wabunge wa Tanzania TUSIKUBALI hoja zinazo lenga kukiuka UKOMO wa muda wa UONGOZI uliowekwa KIKATIBA wa miaka MITANO kwa Rais, Wabunge, na Madiwani. Badala yake, SOTE Tujikite kuhakikisha tunapata KatibaMpya ya Jamuhuri ya Muungano wa #Tanzania kwa maslahi ya wananchi wote wa nchi yetu.  

#MunguIbarikiTanzania #Letlovelead

Maoni