MAGUFULI SERIKALI YA AWAMU YA TANO INAPAMBANA NA RUSHWA KWA VITENDO,WANANCHI WANATAKA KUONA KWA VITENDO.

Jana Mhe Mbunge aliongeza ushahidi mwingine Takukuru
Mhe Mbunge Nassary aliwasili ofisi za takukuru makao Makuu Daresalamu akiambatana na Mhe Mbunge wa Ubungo Said Kubenea 
Mhe Mkt wa chadema jimbo la Arumeru mashariki Gadiel Mwanda na viongozi wengine wa Chama 
Pichani mhe Mbunge akifanya mahojiano na waandishi wa Habari nje ya Makao Makuu Takukuru.
Imetolewa na Katibu ofisi ya Mbunge jimbo la Arumeru Mashariki

Maoni