MSIGWA NA SUGU WAMTEMBELEA LISSU NAIROBI NA KUPOKEA MIKAKATI YA KUMN'GOA NDUGAI WAKIUNGANA NA WABUNGE WA CCM.



Jioni ya leo Mbunge Msigwa na Mbunge Sugu  kamanda Lissu akiwa ana ndelea kuimarika na Kuwa mchangamfu akitutia moyo kuwa ni kusonga mbele ! Kama picha ya Ushindi inavyoonekana hapo juu maneno ya mchungaji msigwa mbunge wa iringa mjini!

Pia Mbunge Msigwa anategemea kupeleka hoja binafsi bungeni,
Ninakusudia kupeleka hoja ya kumuondoa Spika wa binge la jamhuri ya muungano Tanzania mh . Job Ndungai , kwa kuzingatia Kanuni ya 137 Ya kanuni za kudumu za bunge ina complement ibara ya 84(7) (d) ya katiba.

Hawa ndio madaktari waliosafiri na Lissu kutoka dodoma mpka Nairobi, wanastahili pongengenzi kwa kazi kubwa kama alivyosema Lissu! Mwenye blue ni Dr Mbele kutoka general hospital dodoma! Bless you guys for the good job

Maoni