SHEIKH PONDA KUONGEA NA WANAHABARI BAADA YA KUMTEMBELEA MH LISSU HOSPITAL.

#Sheikh_Ponda_Issa_Ponda Amtembelea Lissu Nairobi.
Nimemtembelea Lissu hospitalini Nairobi. Nimeumia mno tena sana kwa jinsi alivyotendewa unyama mkubwa. Nitazungumza na wanahabari Leo na nitaeleza kwa kirefu maneno aliyonieleza Mheshimiwa Tundu Lissu.
Sheikh Ponda ameweza kusikitishwa sana kwa tukio ambalo limeweza kufanyika kwa Mh  Lissu na kuona nchi sio salama kama kuna watu wanampiga kiongozi mkubwa kama lissu alafu amna mtu yoyote ambaye ameweza kukamatwa na kuchukuliwa hatua kali za kisheria wakati nchi yetu ina vyombo vya usalama
#Mytake: 
Huu ndio uongozi tunaostahili kama waumini utuongoze

Maoni