TUKUMBUKE KAULI YA BABA WA TAIFA JUU YA KUSIMAMIA KATIBA YA NCHI KWA KIONGOZI.

Tunamchagua Rais wa nchi kwa mujibu wa KATIBA. Na tukishamchagua TUNAMUAPISHA, Kama ni MKRISTO kwa Bibilia, na kama ni MUISLAM kwa Quran. Hatujawahi kumchagua asiye muumini, mtu asiyeamini dini, lakini tukimchagua tutatafuta namna ya kumuapisha. Ni lazima aape kwamba atailinda na kuitetea KATIBA.
ASIPOILINDA, ASIPOITETEA tutajua kuwa yeye ni MSALITI".

Mwl. J. K. Nyerere, 1995



Maoni