ZITTO KABWE AMEWEZA KUMJIBU MAGUFULI BAADA YA KUTUPIWA MANENO HAPO JANA.

Mhe.Zitto Z.Kabwe

Mbunge Wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe (ACT Wazalendo), Amesema Kuwa Serikali Ya CCM Ya Awamu Ya Tano Imekopa Dollar Milioni 500 Kutoka Benki Ya Uswiss Na Pesa Hizo Ndiyo Zimetumika Kulipia Ndege Za Tanzania.

Serikali Ya CCM Ya Awamu Ya Tano Imekopa $500M Kutoka Benki Ya Credit Suisse Ya Uswiss Kwa Riba Kubwa Sana.
Sehemu Ya Fedha Hizo Zimetumika Kulipia Ndege Ambazo Serikali Inanunua. Wavuvi Wa Migebuka Kigoma Watahusika Kulipa Deni Hilo Kupitia Kodi Zao" - Amesema Zitto.


Rais Magufuli Leo Amesema Kuwa Uchumi Wa Nchi Unazidi Kukuwa Na Kudai Serikali Yake Ina Pesa Za Kutosha Ndiyo Maana Imeweza Kununua Ndege Mpya Zaidi Ya Sita Kwa Mara Moja Na Kudai Watu Ambao Wanasema Uchumi Umeshuka Wanaichonganisha Serikali Na Wananchi.

Serikali ya CCM ya awamu ya Tano imekopa $500m kutoka Benki ya CreditSuisse ya Uswiss Kwa riba kubwa Sana. Sehemu ya Fedha hizo zimetumika kulipia Ndege ambazo Serikali inanunua. Wavuvi wa Migebuka Kigoma watahusika kulipa deni Hilo kupitia kodi zao.

Zitto Kabwe
Hii ni sawa na kukopa pesa benki kisha ukaenda kulipa deni unalodaiwa kwenye VICOBA.

Maoni