DIWANI WA KATA YA MFUMUNI TONNIY AVAMIWA NA WAFUASI WA CCM NA MGOMBEA UDIWANI WA KATA YA BOMAMBUZI KUPITIA CCM.




 Huyu mnaemuona ni Diwani Tonniy Ndewawio wa Kata ya Mfumuni habari ambazo zimetufikia katika chombo chetu cha habari kuwa Amevamiwa na Mgombea Wa CCM Kata ya Bomambuzi Juma Rahibu akiwa na vijana zaidi ya Ishirini Wamemnyang'anya Simu,Wallet,Laptop na Documents Aliweza kufikishwa KCMC kwa matibabu zaidi na ameweza kurejea nyumbani kwa matibabu zaidi kwani ameweza kupata majelaa katika mwili wake,
Hali ya kisiasa nchini chini ya serikali ya awamu ya tano ipo vipi?

Maoni