HALI YA TUNDU LISSU INAENDELEA KUWA IMARA ZAIDI NA MH BANANGA KATUMA UJUMBE.


Hawa watesi wetu wako ktk hatua za mwisho, kama wanajiamini kwa nn wanawawekea mizengwe wagombea wetu ili wao wapite bila kupingwa? Kama wanajiamini kwa nn wanatumia risasi badala ya kujibu hoja? Nendeni mkawaambie watu kwenye kata zenye uchaguzi KUIPA KURA CCM NI KUFURAHIA NA KURUHUSU MATESO YETU YAENDELEE!!......... Maneno makubwa ya Tundu Lissu. Ni mwili tu uko kitandani Nairobi Hospital ILA AKILI ZAKE ZIKO TANZANIA!!!
#MASHINE_INARUDI_MZIGONI_SOON!!!

Maoni