Mbunge wa Mpendae, Salim Hassan Abdullah Turky ameweza kufunguka na kusema kuwa wabunge wa ccm wapata hofu kuhoji na kudadisi mwenendo wa serikali ya awamu ya tano,
Wabunge wengi wamekuwa na hofu kuhoji serikali ya awamu ya tano kutokana baada ya kuhoji unaonekana wewe ni msaliti na kuitwa kuhojiwa juu ya mambo ambayo umehoji,
Hari hii inaweka pabaya serikali ambayo inatakiwa kupokea mawazo ya wabunge mbalimbali ili kuweza kupata mafanikio juu ya taifa letu.
Bunge ni kujenga hoja muhimu ambazo zitaleta maendeleo juu ya taifa letu kwanini serikali ya awamu ya tano ishindwe kupokea hoja za kujenga taifa letu,
Nini tatizo mpaka serikali ya awamu ya tano kuwa na hofu.

Maoni
Chapisha Maoni