MCHAKAMCHAKA:MWENYEKITI WA CHADEMA TAIFA MH MBOWE AKIWA KATA YA RELI MTWARA KUMNADI MGOMBEA WA UDIWANI MH MWEZI

Nikiwahutubia wananchi wa kata ya Reli, Mtwara na kumnadi mgombea udiwani katika kata hiyo, Mhe Antony Silivester Mwezi.
Leo Jumatatu 13/11/2017,Mh Mbowe alikuwa Masasi mjini unaweza kupitia ukurasa wangu wa face book, like ili uweze kuona mkutano wangu popote ulipo na matukio yote ambayo yamefanyika katika mkutano huo, ikiwa ni kampeni za uchaguzi mdogo wa marudio wa udiwani,Mh Mbowe ameanza na mtwara baada ya kutoka kwenye uzinduzi wa kampeni kata ya saranga Jijini Dar, Mwenyekiti wa taifa chadema ameweza kuweka nguvu kubwa na kusimama vyema katikakukinadi chamma chake katika majukwaa na kuwa na mafanikio makubwa sana,
Mbowe anasema Ccm wamekuwa wepesi sana hasa kipindi hiki kwani awana hoja za msingi za kusimama nazo katika majukwaa ya siasa nchini..

Maoni