MWANACHADEMA MDUDE NYAGALI AENDELEA KUSHIKILIWA NA JESHI LA POLISI TOKA TAREHE 1 KISA MACHAPISHO YA UCHOCHEZI.
Kamanda Mdude Chadema Nyagali bado anashikiliwa na polisi Kituo cha Vwawa na hawatampeleka mahakamani kutokana na baadhi ya taratibu za upelelezi kutokamilika.
Hata hivyo wamewaomba wakamilishe hizo taratibu ili waweze kumruhusu apatiwe dhamana hapa hapa polisi.
Kamanda Mdude Chadema amefuatwa na Maafisa wa polisi ofisini kwake, nakumpeleka kituo cha ya polisi kwa mahojiano zaidi SIKU YA TAREHE 1 NOVEMBER, kwa mjibu wa Katibu wa Mbunge wa Mbozi Alfred Mwalusanya ambaye yupo kituoni mpaka sasa amethibitisha Mdude Chadema Nyagali kushikiliwa na tayari wameshamchukua maelezo tayari.... Sababu za kukamatwa kwake zinasadikika ameandika machapisho ya uchochezi na yanayo chonganisha serikali na wananchi....


Maoni
Chapisha Maoni