TAARIFA ZA KIFO MWANACHAMA WA CHADEMA ALIEUWAWA KWA KUKATWA MAPANGA USIKU WA KUAMKIA LEO.


TAARIFA YA MSIBA
CHADEMA wilaya kaliua inasikitika kuwatangazia msiba wa mhasibu chadema kata ya kashishi ndugu masanja ngwilizi alieuwawa kwa kukatwa mapanga usiku wa kuamkia Leo huko kijiji cha kashishi jimbo LA ukyankulu wilaya kaliua mkoa Tabora

Maoni