Kiongozi wa upinzani nchini Rwanda, Diane Rwigara, mama yake na dada yake, wamekamatwa tena kwenye mji mkuu Kigali.
Polisi
wanasema kuwa kando na makosa ya ulaghai na kukwepa kulipa kodi, watatu
hao walikuwa ni tisho kwa usalama wa nchi na wanazuia uchunguzi.Watu hao walishikwa kutoka nyumbani kwao mwezi uliopita ambapo baadaye polisi walikiri kuwa walikuwa wamewakamata.
Maoni
Chapisha Maoni