Ruka hadi kwenye maudhui makuu
MH MSIGW KASEMA SPIKA NDUGAI KADANGANYA BUNGE NA UMMA,,,,SERIKALI IMESHINDWA KUCHANGIA CHOCHOTE KILE MPAKA SASA.
Spika Ndugai muogope Mungu,usilete utani katika maisha ya Mh lissu, umeliongopea bunge na umma , gharama zote za ndege zimelipwa na CHADEMA na Watanzania. The parliament deserve better than you! Mh . Msigwa Nairobi.
Maoni
Chapisha Maoni